MUHAS 11st Graduation Ceremony

By | October 12, 2017

MUHAS 11st Graduation Ceremony

MUHAS 11st Graduation Ceremony
This is to inform the University Community and general public that, this year the Chancellor of Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), H.E. Former President Alhaji Ali Hassan Mwinyi will confer degrees and diplomas to the Graduands at the 11th Graduation Ceremony to be held on Saturday 2th of December 2017 at the University Premises.
All candidates who successfully completed their studies at the University and qualified for Diploma, Advanced Diploma and Degree awards and intend to attend the graduation ceremony should take note of that and complete the necessary procedures.

Issued by:

The Office of Information, Communication and Public Relations.

2nd October, 2017


Mahafali ya Kumi na Moja ya MUHAS

Uongozi wa MUHAS unapenda kuwataarifu kuwa, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Rais mstaafu MheAlhaji Ali Hassan Mwinyi atawatunukia wahitimu wa diploma na digrii mbalimbali za MUHAS katika Mahafali ya kumi na moja yatakayofanyika Jumamosi tarehe 2 Desemba 2017 kwenye eneo la Chuo, kampasi ya Muhimbili.
Wahitimu wote waliofaulu mitihani yao hapa Chuoni na wanastahili kutunukiwa diploma na digrii mbalimbali na wamepanga kuhudhuria kwenye sherehe za Mahafali hayo, wanaombwa wazingatie tarehe hiyo na kukamilisha taratibu zote zinazohitajika.
Imetolewa na:

Ofisi ya Habari na Mawasiliano ya Umma, MUHAS

Oktoba 2, 2017.

See also

International Scholarships for Tanzanians to Study Abroad
HESLB | Higher Education Students Loan Board |
Fisheries Education and Training Agency | FETA |
TCU | Tanzania Commission for Universities |
National Council for Technical Education | NACTE |
Admissions for Universities in Tanzania
Examination Results for Universities in Tanzania
Selected Candidates / Applicants
Necta Examination Results