MUHAS : Uteuzi wa Mkurugenzi katika ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo

By | June 7, 2017

MUHAS : Uteuzi wa Mkurugenzi katika ofisi ya Makamu Mkuu wa Chuo

Visit Admissions for Universities in Tanzania for More Details on Admissions

Makamu Mkuu wa Chuo anapenda kuwataarifu Jumuia ya Chuo kuwa, kutokana na upanuzi unaoendelea katika Chuo na uanzishwaji wa vitengo vipya, kumekuwa na umuhimu wa kuimarisha ofisi za Utawala hapa chuoni. Kwa maelezo zaidi fungua hapa